Mbwa Wakali Zaidi Ambao Hufai Kuwapa Mafunzo Au Kuishi Nao Peke Yako

11922

2. German Shepherds

This image has an empty alt attribute; its file name is 2.jpg
wagwalking.com

Mbwa wa aina ya German Shepherd wanajulikana kama mbwa wenye ujasiri, werevu na wanaojiaminia. Ni mbwa maarufu sana ulimwenguni na anapatikana katika nyumba nyingi sana haswaa nchini Marekani. Ni wazuri, lakini piani mbwa wakali mno na wanaweza hata kuwa hatari. Mara nyingi, mbwa hawa hutumika kuchunga kondoo. Mbwa wa aina hii hufanya kazi ya ulinzi vyema sana haswa shambani. Wanaweza pia kufunzwa kuwafukuza watu ambao hawahitajiki shambani.

advertisement

2 of 30